kabla ya mpambano kuanza wema anapiga dua kidogo ili mambo yamuendee sawa maana akimcheki wolper ni nomaaaa!!!
kabla ya pambano kuanza'
hii ngumi ikikupata tuu lazima uka!!!!eeeee
WEMA SEPETU VS JACK WOLPER
Wema akipata mawaidha kutoka kwa mwalimu wake Rashid Matumla.
Waigizaji mahiri wa filamu nchini, Wema Sepetu na Jacqueline Wolper wametoka suruhu katika mpambano wao wa raundi 2 uliofanyika karika uwanja wa TAIFA LEO USIKU WA MATUMAINA
ila kwamujibu wa watazamaji wengi wanadai kuwa kati ya wema na wolper hakuan mbabe



No comments:
Post a Comment