LAZONE HOUSE

Pages

  • HOME
  • FASHION PAGE
  • ADVERTISMENT
  • LIFE OF ARTIST
  • PHOTOS & VIDEO
  • MUSIC & VIDEO

king



Thursday, July 5, 2012

wolper apania kimtoa jino wema



 
 

HII ni burudani nyingine ya aina yake ambayo itapatikana katika tamasha la Usiku wa Matumaini litakalofanyika Julai 7, Uwanja wa Taifa jijini Dar. Nazungumzia mpambano wa masumbwi kati ya mashostisto wawili maarufu Bongo, Jacqueline Wolper na Wema Sepetu, ebwana eee! Haijawahi kutokea.

Kamera yetu hivi karibuni iliwanasa mwanadada Wolper na bondia Rashid Matumla wakila tizi kwa nguvu zote, pande za Mbezi Beach yalipo maskani ya Wolper, ikiwa ni maandalizi ya pambano hilo litakalokuwa na raundi sita. Wolper alipoulizwa kulikoni amevaa gloves na kusukuma punching bag kama hana akili nzuri, alifunguka kuwa anajiandaa kumchakaza Wema.

“Natafuta pumzi na stamina ya kutosha, si unajua mbele yangu kuna pambano kali dhidi ya adui yangu Wema. Nataka nimshikishe adabu ili tuheshimiane,” alisema Wolper na kuendelea kurusha makonde hewani. Wawili hao waliwahi kuwa mabest lakini baadaye wakatibuana vibaya na kuanzisha bifu linaloendelea hadi leo. Kocha wa Wema ni Maneno Oswald ‘Mtambo wa Gongo’.

Posted by Unknown at 5:00 PM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Search This Blog

Blog Archive

ODAMA

ODAMA

AY

AY

DIAMOND

DIAMOND

FID Q

FID Q

admin

admin

OMOTOLA

OMOTOLA



Total Pageviews

My Favorate blog

  • KING STEVE TOURS
  • Kim'G graphics solution

pata news hapa

  • man united
  • global publisher

Translate

ADMIN

ADMIN
International Dialing Codes

la zone clock

Ingia tu chat


Find more music like this on ThisIs50.com

Followers

http://blog.shopstyle.com/summer-vacation-series-city-escape-23783460 −

Now that we have shown you what to wear for a Beach Vacation and for a Mountain Break, we are finishing off our Vacation Wear series with what to wear on your summer City Escape. Our editors have put together four different looks that are perfect for a day leisurely walking around the city, heading to brunch, or going to see a broadway show. Shop all of our city-chic favorites now.

More Chloé...
http://download24.com/lucisart-windows/fnyf4n-1
Awesome Inc. theme. Powered by Blogger.